Gundua Karibu Nawe

Gundua huduma, mahitaji na watu walio karibu nawe.

CatchUp inakuonyesha huduma zinazopatikana, mahitaji yaliyowekwa na jamii, wafanyakazi wanaopatikana na nafasi zinazoweza kukufaa kulingana na eneo lako.

Huduma Zinazopatikana

Watoa huduma waliopo na wanaopatikana karibu nawe.

Available nearby
Huduma

Fundi Umeme

Wiring, sockets, switches, taa na matatizo ya umeme majumbani.

⌖ 0.8 km · Mwenge ● Available now
Huduma

Fundi Bomba

Kuvuja maji, tanki, sink, toilet na mifumo ya mabomba.

⌖ 1.1 km · Mikocheni ● Available now
Huduma

Mobile Mechanic

Diagnostics, breakdown support na minor roadside repair.

⌖ 1.7 km · Sinza ● Available
Huduma

Mkulima Bustani

Pruning, lawn care, planting na general garden maintenance.

⌖ 2.0 km ● Available today

Mahitaji Yaliyopo Karibu

Watu na biashara zinazohitaji huduma au workforce sasa.

Open requests
Hitaji

Garage Mechanics 2 Wanahitajika

Garage inahitaji mechanics wawili kwa kazi ya leo.

⌖ Mwenge · 0.9 km Leo
Hitaji

Warehouse Loaders 15

Loaders wanahitajika kwa kupakia na kupakua bidhaa.

⌖ Ubungo TZS 18,000/person
Hitaji

Farm Workers 20

Wafanyakazi wanahitajika kwa kazi ya kuvuna na sorting.

⌖ Pwani Kesho
Hitaji

Cleaner Anahitajika Leo

Deep cleaning ya apartment, approximately saa 4.

⌖ Kijitonyama TZS 35,000

Wafanyakazi Wanaopatikana

Watu na crews walio tayari kwa kazi ya karibu.

Ready to work
Mfanyakazi

Construction Helper

Available for daily construction work and site support.

⌖ 1.2 km ● Sasa
Mfanyakazi

Home Cleaner

Usafi wa nyumbani, apartment na office cleaning.

⌖ 1.5 km ● Available today
Mfanyakazi

Farm & Livestock Worker

Feeding livestock, cleaning sheds na general farm labour.

⌖ 4.8 km ● Available
Crew

Moving Crew

Team ya watu 5 kwa moving, loading na unloading.

⌖ 2.4 km ● Available

Jamii za Karibu

Ungana na watu wa eneo au huduma zinazofanana.

Jamii

Mwenge Home Services

Fundi, cleaners na home service providers wa Mwenge.

128 members Private location
Jamii

Sinza Mechanics

Mechanics, garages na roadside assistance professionals.

94 members Verified community
Jamii

Dar Construction Workers

Construction workers, crews na skilled trades.

316 members Dar es Salaam
Jamii

Farm Workers Tanzania

Casual farm labour, livestock support na harvesting crews.

221 members Regional

Hujaona unachohitaji?

Weka hitaji lako na CatchUp itakusaidia kutafuta mtu au crew anayefaa.