Kazi na Nafasi Karibu Nawe

Pata kazi na nafasi zinazokufaa.

Tafuta kazi za haraka, kazi za siku, part-time, contract na nafasi nyingine kutoka kwa watu na biashara zilizo karibu nawe.

Nafasi Zinazopatikana Sasa

Chagua kazi inayokufaa kulingana na eneo, muda na malipo.

● Leo
⌖ Ubungo · Dar es Salaam

Warehouse Loaders 15

Kupakia na kupakua bidhaa kwenye warehouse. Kazi inaanza leo saa 2:00 PM.

Malipo TZS 18,000 / mtu
Muda Siku 1
Positions filled 3 / 15
● Haraka
⌖ Kigamboni

Construction Helpers 12

Site inahitaji general helpers kwa carrying materials na site support.

Malipo TZS 25,000 / siku
Muda Siku 2
Positions filled 7 / 12
Kesho
⌖ Pwani

Farm Workers 20

Kuvuna, sorting na kupakia mazao baada ya harvest.

Malipo TZS 25,000 / siku
Muda Full Day
Positions filled 8 / 20
● Leo
⌖ Kijitonyama

Home Cleaner Needed

Deep cleaning ya apartment. Cleaning supplies zipo.

Malipo TZS 35,000
Muda Approx. 4 hrs
Positions filled 0 / 1
● Urgent
⌖ Mwenge

Mechanic Needed

Gari halistart. Initial diagnosis na inspection inahitajika.

Pricing Inspection first
Start ASAP
Positions 1 open
Event
⌖ Masaki

Event Waiters 8

Evening event service, setup support na guest service.

Malipo TZS 40,000 / mtu
Muda 5 PM – 11 PM
Positions filled 5 / 8

Unatafuta kazi ya karibu?

Tengeneza profile yako, weka skills na availability ili CatchUp ikulinganishe na mahitaji mapya.

Anza Kama Mfanyakazi